Hivi kuombwa pesa na mwanamke aliyekukataa ina maana gani?

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,231
2,000
Umemtongoza mwanamke amekukataa, kutokana na sababu anazojua mwenyewe. Ukaamua kupotezea.

Siku kadhaa mbeleni anakuja anakutafuta anakwambia kuwa ana shida ya kiasi cha fedha umsaidie!!

Hii inamaanisha Nini??

(a) Anataka kukutumia tuu?
(b) Anakupima tuu?
(c) Anakutaka?
(d) Anajiona A T M?
(e) Hana maana yeyote?
(f)........... Au?

NININI HUKU YAKE?

1. Umpe pesa ?
2. Umkopeshe?
3. Usimpe?
4. Umpe na umuombe tena kifuu tundu / papuchi?

Uzi tayari.
MAJIBU TAFADHALI.

mzee wa kasumba
 
Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
28,710
2,000
Binafsi naamini hivi.....
Kukataliwa ni kitu kingine na kuombwa pesa ni jambo lingine.
Kwanza siamini kama kukataliwa ni ugomvi, na hata unapo kataliwa haimaanishi basi muwe maadui.
Kukataliwa kuna sababu nyingi sana mkuu, na unaweza ukakataliwa na ndipo ukawa mwanzo mzuri wa urafiki kati yenu kwasababu pengine aliye kukataa alikuepusha na maambukizi ama janga flani.
Kuombwa pesa inategemea na wewe mwenyewe muombwaji upo kwenye ngazi gani ya kiuchumi, na pesa hutolewa kutokana na nafasi ya mtu anaeombwa pesa. Ninacho kiona mimi ni watu wengi tuna sumbuliwa na umaskini/shida na ukata wa pesa na ndiomaana tunapo ombwa pesa tumekuwa wepesi wa kusema visingizio vingi sana.
 
KIDUDU

JF-Expert Member
Sep 17, 2012
2,569
2,000
Umemtongoza mwanamke amekukataa, kutokana na sababu anazojua mwenyewe. Ukaamua kupotezea.

Siku kadhaa mbeleni anakuja anakutafuta anakwambia kuwa ana shida ya kiasi cha fedha umsaidie!!

Hii inamaanisha Nini??

(a) Anataka kukutumia tuu?
(b) Anakupima tuu?
(c) Anakutaka?
(d) Anajiona A T M?
(e) Hana maana yeyote?
(f)........... Au?

NININI HUKU YAKE?

1. Umpe pesa ?
2. Umkopeshe?
3. Usimpe?
4. Umpe na umuombe tena kifuu tundu / papuchi?

Uzi tayari.
MAJIBU TAFADHALI.

mzee wa kasumba
Maana yake anakudharau sana
 
kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
15,168
2,000
Umemtongoza mwanamke amekukataa, kutokana na sababu anazojua mwenyewe. Ukaamua kupotezea.

Siku kadhaa mbeleni anakuja anakutafuta anakwambia kuwa ana shida ya kiasi cha fedha umsaidie!!

Hii inamaanisha Nini??

(a) Anataka kukutumia tuu?
(b) Anakupima tuu?
(c) Anakutaka?
(d) Anajiona A T M?
(e) Hana maana yeyote?
(f)........... Au?

NININI HUKU YAKE?

1. Umpe pesa ?
2. Umkopeshe?
3. Usimpe?
4. Umpe na umuombe tena kifuu tundu / papuchi?

Uzi tayari.
MAJIBU TAFADHALI.

mzee wa kasumba
anakuona wewe teja wa mapenzi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom