Hivi kuombwa pesa na mwanamke aliyekukataa ina maana gani?

Kuna scenarios nyingi.

Moja anakuona fala fulani.
Mbili, ni yule nataka sitaki.
Tatu, ana mwingine bado hujaamua amtose fala yupi.

Mnyime hizo pesa. Utapata jibu.

Umemtongoza mwanamke amekukataa, kutokana na sababu anazojua mwenyewe. Ukaamua kupotezea.

Siku kadhaa mbeleni anakuja anakutafuta anakwambia kuwa ana shida ya kiasi cha fedha umsaidie!!

Hii inamaanisha Nini??

(a) Anataka kukutumia tuu?
(b) Anakupima tuu?
(c) Anakutaka?
(d) Anajiona A T M?
(e) Hana maana yeyote?
(f)........... Au?


NININI HUKU YAKE?

1. Umpe pesa ?
2. Umkopeshe?
3. Usimpe?
4. Umpe na umuombe tena kifuu tundu / papuchi?

Uzi tayari.
MAJIBU TAFADHALI.

mzee wa kasumba
 
Back
Top Bottom