Hivi kuna wale watu HAMNA CHOCHOTE kabisa kuhusiana na dini

Pac-Man

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
465
737
Habari wakuu

Hivi kuna watu wapo tu. Yeye akiamka anaenda zake kazini, hana chochote anacho kiamini au kukiabudu. Na akirudi anaendelea na mambo yake.
Yani MWEUPE hamna chochote kuhusiana na dini.

Nembo za Kidini:
1.: Ukristo - Uyahudi - Uhindu - Nyota ya Baha'i
2.: Uislamu - Msalaba wa Kikelti - Falsafa ya China-Korea - Shinto
3.: Ubuddha - Usikhi - Ujaini - Ujaini
4.: Ayyavali - Upagani mpya - Msalaba wa chuma - Msalaba wa Kislavoni

IMG_5109.png
 
Habari wakuu

Ukosoaji wa dini ni mtindo wa kitaalamu wa kuchungulia matamshi ya dini, mafundisho yake na hali yake halisi kwa misingi ya akili ya binadamu bila ya kukubali ukweli wa imani yake, kama matamshi, mawazo na maandiko ya kibinadamu.

Nembo za Kidini:
1.: Ukristo - Uyahudi - Uhindu - Nyota ya Baha'i
2.: Uislamu - Msalaba wa Kikelti - Falsafa ya China-Korea - Shinto
3.: Ubuddha - Usikhi - Ujaini - Ujaini
4.: Ayyavali - Upagani mpya - Msalaba wa chuma - Msalaba wa Kislavoni

Hivi kuna wale watu HAMNA CHOCHOTE kabisa kuhusiana na dini. Akiamka huyo kazini, akirudi anaendelea na mambo yake. Yani MWEUPE hamna chochote kuhusiana na dini
View attachment 2500165
hili iwe dini lazima iwe na mwengozo kitabu na mwalimu wa kufundisha dini hiyo(mtume) alietumwa na mungu kwenye izo nembo ulizo ziweka hapo tupe andiko linolo toka kwenye muongozo wa dini hizo lilo thibitisha kuwa hizo ni dini
 
Nembo sio tatizo kuwa hapo ukiona tu msalaba unajua roman hawa

Umesoma ukaelewa lakini?
 
Back
Top Bottom