M mbongopopo JF-Expert Member Jan 24, 2008 1,611 759 Apr 2, 2011 #1 Kuuza vitu madukani kwa dollar tanzania? Na wanaruhusiwa na nani? Sasa shilingi inakufa au?
P Prime Dynamics JF-Expert Member Dec 30, 2010 551 249 Apr 3, 2011 #2 Kama TRA wenyewe wana toza kodi kwa dollar inamaana serikali inalitambua vyema sana. May be wabunge wa Chadema watalivalia njuga hilo watafuta yote hayo. Yana mwisho, time will tell.
Kama TRA wenyewe wana toza kodi kwa dollar inamaana serikali inalitambua vyema sana. May be wabunge wa Chadema watalivalia njuga hilo watafuta yote hayo. Yana mwisho, time will tell.