Hivi kuna madhara yoyote kwa mke kuangalia na kumtumia mume links za porn sites?

Ras...... Samahi Kama nitakukwaza

Hivi mkeo Ana umri gani na amefika lini ughaibuni?

(nahisi hapo pazuri pa kuanzia kujua mzizi wa tatizo)
Ana umri wa miaka 30 na kafika ughaibuni kwa miaka miwili sasa.
 
Ana umri wa miaka 30 na kafika ughaibuni kwa miaka miwili sasa.

nafikiri hapo kwenye nyekundu ndipo kiini kinapoanza.............sidhani kama alikaa tu akaona bora afungue site za porno. nna karibia kusema kwa uhakika ni influence ya watu makazini au marafiki zake ambao si watanzania.

kama wamarekani weusi kwa mfano hawaoni tabu kupiga story kujadili mautaalamu ya sita kwa sita..............sasa yawezekana bibie akawa na yeye kataka kuchangia, au kaona mbona yeye hajawahi fanya hayo na akajua ujuzi unapatikana kwenye sites zaz porno ndio akaenda.

tatizo hili mnaweza mkawa mmelimaliza kwa sasa, lakini kama ni mwepesi hivyo wa kupokea inflluence kutoka nje, mtapata tabu kwenye mambo mengine.

Inabidi hapa mkeo aweze kuwa na misimamo binafsi au mtayumba kila leo kwa mambo yanayopita na kusemwa nje.
 
Naombeni ushauri wenu kuhusu hili Wana JF. Nina mke ambaye kwa kweli nampenda sana na nilimkuta akiwa bado Kigori, mara ya kwanza alikuwa anachukua muda mfupi sana kufikia kilele lakini hivi karibuni amekuwa akikawia sana. Ni juzi tu kanitumia link ya porn site anasema huwa mara ingine anajifunza kitu humo nikahisi yawezekana ndiyo inayomfanya kwa sasa achelewe sana vile pengine tunapokuwa faragha yeye huwaza pics alizoziangalia kule. Je hili mnalionaje wanajf litamjenga au litambomoa? naomba ushauri wenu.:frusty:

usiwe na ghadhabu bro. kama anafurahia pon sites bac furahia naye na ikiwezekana jaribuni kupractice kwani inavyoonekana amechoka na kifo cha mende. kumbuka hata chakula ambacho ni muhimu unapokula hicho hicho kila siku utakinahi na ndio maana tunabadili au kuongezea appetizers. huyo shem bila shaka ana experience hiyo na ndio maana anakawia kupata orgasm:boink:.
 
Ras kwani wewe una opinion gani kuhusu Porn? kama hupendi basi make sure she knows tht you totally condemn porn....Just a thought hivi wanaume wasiku hizi wamekuwaje? :twitch:be a man if you dont like what she is doing then stop her!!! ) otherwise kama unaona ni kawaida mwache aendelee muulize anajifundisha nini kwenye porno? (what on earth u can learn from th sht? )
 
Mkuu hujapata solusheni hadi sasa? % kubwa wanakwambia usilemae na kumwacha achukue maamuzi usiyopenda. Wakati fulani nikiwa singo nilipenda porn ila nilipoopoa nilizisahau kwani yeye alikuwa porn site yangu tosha.
 
Msome vizuri mkeo tena kwa taratibu, anakosa ujasiri wa kukueleza ni mapenzi gani mufanye ili afike kileleni mapema, ameaona njia ni kukutumia porno. ushauri wangu ni wewe kukakaa naye kwa upole na kwa lugha ya mapenzi muulize how you can sastify her. atakueleza mikao inayompagawisha, baada ya hapo mshauri aachane na porno zitakuja vunja ndoa yenu.
Sometimes na wewe jifunze kuchelewa kufika ili mfike pamoja maana DAWA YA MOTO NI MOTO
 
Nashukuru mkuu, nimekupata
 
Mkuu hujapata solusheni hadi sasa? % kubwa wanakwambia usilemae na kumwacha achukue maamuzi usiyopenda. Wakati fulani nikiwa singo nilipenda porn ila nilipoopoa nilizisahau kwani yeye alikuwa porn site yangu tosha.

Nadhani nimeshaipata Kingi!Ahsanteni kwa kuja kuchangia hii thread
 
ras kwani wewe una opinion gani kuhusu porn? Kama hupendi basi make sure she knows tht you totally condemn porn....just a thought hivi wanaume wasiku hizi wamekuwaje? :twitch:be a man if you dont like what she is doing then stop her!!! ) otherwise kama unaona ni kawaida mwache aendelee muulize anajifundisha nini kwenye porno? (what on earth u can learn from th sht? )

i hate porn! Naweza kumstop kutokuangalia na akaahidi hivyo lakini uwezo wa kuamua kweli kutokuangalia au lah upo kwake siwezi kutumia nguvu unajua tena. So nimekuja hapa ili niweze pata mawazo yenu ili niweze kumsaidia kisaikolojia.
 
Tumia upole kumuelimisha kuwa ile ni biashara na kama biashara yoyote yenye matangazo; sharti ni lazimamatangazo yavutie!

Muase kutoamini kila kitu kwenye porn kwa kuwa hata zile feelings huwa ni fake; wakati mapenzi yenu wawili ni kitu halisi na hakihitaji kufananaishwa ama kulinganishwa na kitu kingine chochote kwani ni kitu pekee kwenu wawli.
 
Nitaongea lugha ya pweza wa ujeremani.
Mkeo amepata bwana mpya ambaye huwa anamsimulia na kumhadithia namna mbalimbali za kufanya mapenzi.
Pia amekuwa akimpa mkeo website za kunjunjiana.
Mkeo kakolea kwenye ma porn, na wakati mwingine anajikata kiu mwenyewe.
Itafika point atakuwa haitaji tena mwanaume, maana raha ya kujichua anajua mwenyewe pamuwashapo.
Watch out hommie.
 
tatizo hili mnaweza mkawa mmelimaliza kwa sasa, lakini kama ni mwepesi hivyo wa kupokea inflluence kutoka nje, mtapata tabu kwenye mambo mengine.

Inabidi hapa mkeo aweze kuwa na misimamo binafsi au mtayumba kila leo kwa mambo yanayopita na kusemwa nje.

Hapo kwenye bold ni tatizo linalokua kwa kasi miongoni mwenu wanawake; it is surely a growing culture!
 
Back
Top Bottom