Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,628
- Thread starter
-
- #21
Haya Ma filter yanadanganya Sana Mi kuna siku nilimuona Yule lulu live live.. Nikasema haya udambwi udambwi yakifala sana. Ila huyo Irene Ni anamvuto kiukwel hata nje ya Ma filter
Uzuri ongezea na classy..kama warembo mbona kila sehemu wapoKwa macho yako..
Nna dada zangu ukiwasimamisha nae anabaki nyuma
Rafiki wewe mbona una sura mbaya sana na hatusemi kitu!
Uzuri ongezea na classy..kama warembo mbona kila sehemu wapo
Haha wengine wameolewa tayar
Baada ya kufua ma shape wear hali ubadilika
Naamini kati ya hao wengine yupo aliebaki. Hahahaa au wewe wenyew, maana nawaza hilo shepu la kigodoro la uwoya kama dada zako wanalo si hatari kwa nini mmoja asiwe wng
Ni heri uwe og tujue moja.. Jikubali
Huku kujiedit mi naona wendawazimu
Duu, wawe siku nyingine wanapost hata wake zao jamaniYaaani.. Nimeshangaa
Si
Shangazi yangu huyo?
Usihofu spare ziko kibao kule moimbavu zangu
Haaaa haaaa bodaboda wamezibakiza kweli?Usihofu spare ziko kibao kule moi
Wale hua hawavunjiki mbavu ni kuanzia paja kushuka chini akiguswa juu ni bega kifua shingo na kupasuka kichwaHaaaa haaaa bodaboda wamezibakiza kweli?
Hii ya ukweli kibantubantu