Simpendi huyu jamaa, ila anaweza kuwa tiba kuangamiza ugaidi ambao ni tishio kwa dunia. Ni UGAIDI na UHARIBIFU wa mazingira tu ambavyo vinaweza kuimaliza dunia.
Magaidi wakipata access ya nuclear weapons the planet earth will be destroyed within a fraction of a single minute. Trump ana nafasi kwa wakati huu.