mutagaywa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 891
- 189
Mkuu nimelitazama hili kwa upana nikaona kweli hapa nchini kuna kazi kubwa sana kuinua uchumi wa mtu mmoja mmoja na jamii kwa ujumla serikali yetu makini ya magu ukiendelea kulifungia macho suala hili.
Image mtu anafamilia ana taaluma ya kazi hiyo na pia ana experience ya 5year nakuendelea lakini anafanyishwa kazi kama kibarua akisubiri apigiwe simu kuingia kwenye hicho kibarua ambacho anaweza fanya wiki mbili kwa mwezi au moja sasa anaishije kwa kujitegemea akiwa anafamilia, anapaswa kulipa kodi, matibabu.
Jamani naimba selikali iliswala iliangalie kwa jicho la Tatu watanzania wananyanyaswa sana kwenye hizo hotel tena five star, taasisi binafsi viwandani na kadharika imagine hunakuta hizo company au hotel zinapata tenda nzuri lakini sijui wanashidwa nini kuwatendea haki awa watu.
Nawasilisha