mzee wa misele
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 366
- 46
wakuu kuna dispensary moja ya private nimeenda nimeambiwa nina typhoid nauza hivi hiki kipimo kinaweza kuchukuliwa kwa dk 15
Hiyo ni test tu kuangalia kama typhoid ipo. Wanaangalia reactions na si idadi au kiwango cha typhoid kilichopo