Hivi kipi kinachomhangaisha Peter Msigwa juu ya kauli zake mwenyewe?

Anaiywa JOSEPH LEONARD HAULE anafahamika kama PROF J, ni mbunge anaye ongoza binadamu na wanyama kutoka mbuga za mikumi,

Jamaa alipewa dakika moja akashuka shida zote majungu akaweka pembeni,

aliomba maji, bara bara, wastafu wa kiwanda cha sukari walipwe stahiki zao n.k

magu ikabidi ampe air time nyingine ya kuburudisha umati,

msigwa yeye alivyo mpuuzi akakaria kuongea mashudu kana kwamba wananchi wa iringa hawana kero na shida zingine,

sasa mbunge kama huyu kwa kweli kawakosea wananchi kwa kutokueleza kero zao kwa mh raisi baada ya kupewa nafasi.
Ukiona hivyo ujue priorities zimeshatatuliwa..Mengine kama ujenzi wa uwanja wa nduli ni nyongeza tu..
 
Mange kaandika vizuri sana kuhusu ukigeu geu wa huyu na points za nguvu sana na mifano iliyotulia. Yule dada yuko vizuri kwenye kujenga hoja na si ajabu baada ya kupewa za uso na Mange sasa anajaribu kuyakana maneno yake. AJIONGEZE!!!
Yaani BAK huwezi kujenga hoja yako mwenyewe bila Mange?
Hiyo post yako ni kama vile kila mtu anajua Mange kaandika nini kuhusu Msigwa? Hebu tueleze vizuri kwa habari iliyoshiba.

Post yako inaleta dhana kuaa Mange siku hizi ndie boss wa chadema akimkoholea kiongozi yeyote lazima anywee. Msigwa ni mbunge na kiongozi wa kanda wa chadema. Ni mjumbe wa kamati kuu etc.
Hajapigwa mkwara na Mbowe, Mashinji Lowassa au Lissu viongozi wenzie ila kwa mujibu wako kapiga mkwara na Mange fasta akala matapishi yake..
Kama ndio hivyo chadema kuna hali mbaya sana. Sio viongozi sio wafuasi.

By the way BAK mbona ulimsaliti Mange?? Hukuenda kwenye yale maandamano yake.
 
Mie nimejenga hoja za nguvu humu kwa miaka 11 na sioni tatizo lolote lile la kumsifia yeyote yule aliyejenga hoja ya nguvu kuhusu issue ya kuhusu Tanzania au chochote kile duniani.

Hunijui mimi wewe acha kujibaraguza kama vile unanifahamu.

Kuwa humu miaka 11 sio hoja.
Hoja ni post yako uliyoiweka na nikaijibu.

Kuna watu wengi humu wakongwe kama wewe wana post zao za zamani zikiibuliwa wanalia na kusaga meno. Wengine wamezikimbia hadi ID zao.

Kuwa member kwa miaka 11 sio ishu kabisaa.
Kuna member wengine wamekuwa vigeugeu wa kutupa. Kila mtu anasiku yake ya kukosea au kuchemsha.

We jibu post yangu kwa hoja. Eti sikujui, Kwani we unanijua? Hatukuja kujuana kwenye hili jukwaa.
 
Sijibu hoja za kipumbavu. Mie najitambua na KAMWE siwezi kuikimbia ID yangu.

Mie wapi nilipoandika nakujua!? Sasa kama hunijui kwanini uniulize swali kama vile unanifahamu? Upumbavu wako mwisho lumumba siyo humu.

Hakuna chochote nilichowahi kuandika humu ambacho leo hii nakikana msimamo wangu ni ule ule sikurupuki ninapoandika humu nami si bendera fuata upepo.

Umeshindwa kujibu hoja unakimbilia kunikejeli.
Kuwa na staha na kuwa mvumilivu ndugu BAK. Pia uelewe kwamba wenzio wana uhuru kama wako wa kutoa maoni na hata kukupinga.
Usiposikiliza na kubeza hoja za wenzako na zako zitapuuzwa.

Vilevile hoja za kipumbavu hutegemea wewe unauelewa kiasi gani. 'Wadhungu' wana msemo kuwa
"it takes sense to see sense".

Uwe na Jumapili njema ndugu BAK.
 
Nimekwambia sijibu hoja za kipumbavu, sijaandika kichina sasa kipi ambacho hujakielewa!? Staha ipi unaitaka weye ya kuniuliza swali kama vile unanifahamu wakati hunifahamu!?

Aliyekwambia mimi ninachoandika humu nategemea MACCM wanaounga mkono na kupigia makofi genge la wahuni, wezi, mafisadi na wauaji wakiunge mkono ni nani!? JIONGEZE

Msikilize hapa Baba wa Taifa

Nawe uwe na Jumapili njema.

Umeshindwa kujibu hoja unakimbilia kunikejeli.
Kuwa na staha na kuwa mvumilivu ndugu BAK. Pia uelewe kwamba wenzio wana uhuru kama wako wa kutoa maoni na hata kukupinga.
Usiposikiliza na kubeza hoja za wenzako na zako zitapuuzwa.

Vilevile hoja za kipumbavu hutegemea wewe unauelewa kiasi gani. 'Wadhungu' wana msemo kuwa
"it takes sense to see sense".

Uwe na Jumapili njema ndugu BAK.
 
Anaiywa JOSEPH LEONARD HAULE anafahamika kama PROF J, ni mbunge anaye ongoza binadamu na wanyama kutoka mbuga za mikumi,

Jamaa alipewa dakika moja akashuka shida zote majungu akaweka pembeni,

aliomba maji, bara bara, wastafu wa kiwanda cha sukari walipwe stahiki zao n.k

magu ikabidi ampe air time nyingine ya kuburudisha umati,

msigwa yeye alivyo mpuuzi akakaria kuongea mashudu kana kwamba wananchi wa iringa hawana kero na shida zingine,

sasa mbunge kama huyu kwa kweli kawakosea wananchi kwa kutokueleza kero zao kwa mh raisi baada ya kupewa nafasi.
Ifike wakati siasa ziachwe pembeni.Uko jimboni kwako, wapiganie wananchi wako.Wengine wamefikia hatua ya kuvizia na kukwepa ziara za viongozi wakubwa wanapoenda majimboni kwao. This is childish.
 
Mimi ni mzaliwa wa Kilosa na ndugu zangu wote pamoja na wazazi wapo kilosa mjini kabisa ila inafikia kipindi hadi nawaonea wivu watu wa mikumi wamepata mbunge makini sana ukiondo inshu hii ya uvyama yule jamaa anajuwa anachokifanya ila sisi wa hapa Kilosa kati hatuna Mbunge Wallah naapa huyu mwarabu ni galasa haijawaji kutokea ila nadhani sijuwi huwa tuna mikosi maana wabunge wetu wote sisi huwa ni magalasa tu tulifanikiwa kuwa na mbunge ambaye baadaye akaupata uwaziri wa fedha kilichotokea ni upuuzi mtupu jimbo hadi leo barabara ya lami hakuna
Waziri wa Fedha aliyetelekeza kwao? Ha ha ha ha...!
 
Kwani ninyi siku hizi mnaongozwa na Mange? Hata Mbowe alishasema ametembea ardhini na mbinguni hajawai kuona Rais kama JK...Enzi hizo Jk akiwa Rais na ilikuwa ni kipindi wametoka kuandamana kule Arusha
Hivi kosa la Msigwa ni lipi?
Swali hilo alipaswa aulizwe Msigwa kama sijamwelewa vibaya mleta uzi.
 
Huwezi kutembelewa na mgeni ukaacha kumpa maneno mazuri.

Hata Mbowe alipotembelewa na Magufuli enzi akiwa waziri wa ujenzi alimsifia sana.

Hakuna mbunge wa upinzani ambaye hajamsifia Rais alipomtembelea.

Sio ustaarabu wala utu kumponda aliyekutembelea. Leo hii Magufuli hata akienda kumtembelea Lissu atampokea kwa maneno mazuri tu.

Kwa hiyo simwelewi Msigwa anapohangaika kukataa maneno mazuri aliyoongea anababaika nini.
Tatizo lake yeye ni Mchungaji. Kwa iyo kuongea uhongo unamsuta na niñavyowajua watu wa iringa, anaweza akajinyonga
 
Back
Top Bottom