masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,560
- 20,098
Natamani na sisi wafanyakazi tungekuwa na msimamo kama hawa madereva na wafanyabiashara wa kariakoo na mbeya
maisha yangekuwa mazuri sana..Sijui tumrogwa wapi angalia wenzetu burundi mpaka kitaeleweka tu.
Inchi hii mpaka raisi siku atangoma kazi
Ikulu zipo nyingi,labda chadema wataingia ikulu ya moshi
nataka kusafiri leo, mtupe updates jamani