wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 558
Tukiwa wanachama watiifu wa CHADEMA tunauliza kamati kuu ya CHADEMA ipo au haipo naona kimya hawajadili baada ya uchaguzi ni cha kufanya kama chama.
Tunasikia tu kila mmoja ni kutamka matamko ya Magufuli anatekeleza ilani ya CHADEMA.
Hata msemaji wa chama hatumfahamu.
Tunasikia tu kila mmoja ni kutamka matamko ya Magufuli anatekeleza ilani ya CHADEMA.
Hata msemaji wa chama hatumfahamu.