Anajuta kugombea ubunge, maana zamani kuwa mbunge wa ccm ilikuwa kukamata fursa za kutajirika sasa mambo yamekuwa kinyume wanatakiwa kuishi kama mashetani, ameona anapoteza muda wa kufanya biashara zake, achangie nini wakati hajui shida za kahama? 3teamyahaya.