Hosptal ya kisarawe jaffo kalet standing jenereta uhakika wa umeme n 24/7, kajenga motuary kwenye uongoz wake na hosptal zote kazipa ambulance hzo ulizo zitaja na moja haina zaid ya miez....na hosptal ya kisarawe kuna majengo mapya ya wodi
Istoshe kwenye elimu jaffo foundation inasomesha watoto wengi sana data ntaleta hapa
Barabara kisarawe yote mjn kunawekwa lami na stand imehamishwa na inajengwa mpya stand chin ya jaffo
Na hakuna mbunge anaye tembelea jimbo lake kama sulemain jaffo nchi hii maana mara kwa mara anatwmbelea jimbon kwake inabd wabunge wengine waige kwake maana anaonesha maana halisi ya uwakilishi
Maji anajtahd sana ila tusisahau kisarawe ipo kwenye high plateu kama wilaya za newala kwahyo ni wilaya ambazo maji yanasumbua wataalamu wa jolojia na hydrology wanaelewa hili ila suleiman jaffo anapambana sana akijua umuhmu wa maji na kisarawe inakimbia mwendo mzur chini ya jaffo
Hongera suleiman jaffo kisarawe niya jaffo na jaffo niwa kisarawe