Hivi jamani kuna ukweli juu ya hili?

Mr. nyaggad fanya uamuzi binafsi,cos wote walotetea hela umewapinga tena kwa kuwa na hoja,binafsi nakuunga mkono kwamba "love doesn't ask why" and money can buy sex not love,money is for something not everything and money is slavely.
Katika mahusiano yaliyo perfect utumwa haumo.
 
Kaka yako hayuko sahihi.Ukiwa mbunifu utampata msichana yoyote umpendae.Tumia pesa kidogo ili uwawekee mazingira mazuri ya kukubali.
 

:A S embarassed:umemteremshia yote miss chaga, yani kama nakuona vile roho nyeupeeee
 
Hunataka hudumu nao wa kazi gani weweee ??? Charaza bakora, vaa chupi kimbia. :yo: ..............
 
Nilichogundua kwenye maelezo yako ni kwamba kwenye kichwa chako kuna aina ya mwanamke ambaye umemuumba ambaye kamwe hatakuja tokea katika ulimwengu huu....
Kwanza unatakiwa ujitoe kwenye ulimwengu wa kusadikika ulionao dhidi ya mwanamke wa ndoto zako na uje kwenye ulimwengu halisi...ulimwengu huu ambao tunaishi mimi, wewe na yule....ulimwengu huu huu uliojaa warembo na walimbwende wa kila aina....
Vile vile cha kuzingatia ni tabia njema na stara katika kupata mke mwema...na sio uzuri wa sura wala umbo la mwanamke..
Vile vile kumbuka penzi halinunuliwi bali ngono ndio hununuliwa hata pasi na upendo....
 
Mweee...!!!
 
kupiga na kusepa ni sawa mkuu ... kubali ukatae wanawake bana tunamengi moyoni kama siyo size yangu aisee utachezea matukio mpaka ukome
MY CONCERN IS YOUR SAY, ''SEX IS EASY AND LOVE IS EXPENSIVE'', OF COURSE IS A SAY WHICH SOUNDS GOOD, the problems with we who declare to know or understand those says, they have been as decorators with nothing to do with our life. AIBU SANA HII MISEMO HATUUIISHI, Better to have your own say which you believe and live.:lol:
 
aisee let me shout up my big mouth
 
Fanyia kazi usemi huu" Ukichagua sana Nazi mwisho wake utachagua korona". Punguza vigezo visvyokuwa na maana, vinginevyo jiandae kuwa kapera /msela/bachela mwandamizi
 
Dah...sijui nani aje alete maujuzi hapa maana naona wengi wanakimbilia kusema pesa tu.

Nilivyomuelewa jamaa ni kwamba yule ambae yeye anaona atamfaa kuwa mkewe akimtokea anachomoa ila wale asiowataka ndio manamkimbilia bila kuitwa...huu kweli ni mtihani.

Naamini sio wote walio kwenye ndoa ni mmoja ndio alimpenda mwingine na mwingine hakumpenda...lakini itakuaje uishi na mtu usie mpenda kisa unataka ndoa au umewakosa unaowapenda?? hiyo nakataa haifai kabisa.

Ushauri wangu kwako....nafikiri usikate tamaa na wala usiwe na haraka...kati ya wale unaowapenda fanya uchunguzi kama wako free kisha unapopata nafasi ya kujielezea iwe kimwili au mdomo...maanisha kuwa unamuhitaji kwa maisha ya pamoja na sio kipita njia. Inawezekana muonekano wako ni mpitaji au unakua karibu zaidi na wasio kupenda na wanagundua dhahabu iliyojificha ndani yako na kukuganda.

Jaribu kuwa karibu na huyo unaempenda akufahamu vizuri na usikate tamaa kwa vibuti vya hapa na pale...kumbuka vizuri pia havipatikani kwa urahisi....pia tumia rafiki zake kuelezea nia yako kama inawezekana au hata watu wake wa karibu.

Ila angalizo ni kuwa, kama na huyo unaempenda anaona wewe sio chaguo lake basi ni shida....ila usikate tamaa utakuja mpata unaempenda usichoke kutafuta ila utulivu wa tabia nao muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…