Hivi itakuwaje shetani akiokoka?

Hivi itakuwaje shetani akiokoka?

Tigga

Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
62
Reaction score
22
Maranyingi shetani hulaumiwa kwa mambo mengi..watu baada ya usalitiana utamskia msaliti akidai "nisamehe ni shetani tu alinipitia", yakitokea mauaji yyte ya kinyama utaskia watu wanadai "shetani kawa na nguvu sn sikuhizi" watu wanafanya unyang'anyi, wizi, ufisadi, n.k. yote utaambiwa ni "shetani" Sasa akiokoka huyu "master wa uovu itakuwajee??" Mimi naona DUNIANI HAKUTAKUWA NA DILI KABISA HUYU JAMAA AKIOKOKA.
 
tutaishi milele. full maraha na mashangwe itakuwaje dili sasa?? kwa pamoja tuungane tumuombee shetani basi ili aokoke ili tuone itakuaje
 
tatizo shetani mwenyewe amezaa, na watoto wake ni wabunifu usipime!
 
Back
Top Bottom