Ranks JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 2,583 Reaction score 1,098 Nov 13, 2016 #1 Baada ya Trump kulamba dume kuwa raia namba moja USA "taifa kubwa,taifa babe",anaweza kuthubutu au hata kutamani kujiandikia historia kama hii............
Baada ya Trump kulamba dume kuwa raia namba moja USA "taifa kubwa,taifa babe",anaweza kuthubutu au hata kutamani kujiandikia historia kama hii............
Ranks JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 2,583 Reaction score 1,098 Nov 13, 2016 Thread starter #2 Ama kweli ukiwa mwema sometime watu si wema'wakushusha',alivyo mbabe kama BJ atakubali kushushwa???