Icon Special
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 257
- 230
ku unlock ni simple sana
unamrudishia mwenye simu......ngoma tayari
Tatizo n Kwamba umecreem Kwamba n yake wizi,ku unlock ni simple sana
unamrudishia mwenye simu......ngoma tayari
Tiririka to mkuu Kwa faida take wengine Kama waweza issue hionjoo nkufundshe
kama sio ya wizi kwanini ushindwe kuifungua?Tatizo n Kwamba umecreem Kwamba n yake wizi,
pole sana mkuu,,Simu n yake Bro ang ambaye alipata ajali ya boda boda, akapatwa na tatizo la kupoteza kumbukumbu yupo lakin hata maelezo yake yanachanganya to haeleweki vizur
Si kila ukionacho youtube kina ukweli wengi wanatafuta viewsWanasema eti kuwa n ngumu ku unlock iPhone kutokana ina high security lakin ukiingia utube, kuna washikaji wakihindi, Mara wazungu vlee... wana unlock hizo simu hii imekaaje wataalam wa mambo hizi
Kuna mtu hata mmoja aliyefanikiwa juu yake hii issue!!?
Search google KINGKIMBE TECH kwa kujua tunapatikana wapi na mawasiliano yake #wemakeithappen
Unatakiwa useme wewe hauwezi sio watu wengine hawawezi hiyo kazi inafanyika hapa hapa bongo kwa kutumia server maalumu za appleFBI wenyewe walipata tabu kama mwezi mzima ndio wakafanikiwa..
Tena enzi hizo ilikua ni iphone 5..
Sasa kibongo bongo unadhani utaweza kweli?
Ukiona mtu anakwambie uende aifingue ujue unaenda KUPIGWA!!
Amkeni Amkeni Jamani Njooni huku et solution imepatikana😂😂😂Unatakiwa useme wewe hauwezi sio watu wengine hawawezi hiyo kazi inafanyika hapa hapa bongo kwa kutumia server maalumu za apple