Wengi bado wanapima kwa macho mkuu nikiwa kijana mdogo nilishakoswakoswa mpaka leo nina nidhamu ya hali ya juu, sera yangu ni mimi kwanza mbele ,halafu ndio upwiru unafuata.
Heri kuwa na ukimwi mara 100 mkuu, kuliko kisukari au kupararazi mkuu ...hapa nauguza mgonjwa aliyepararazii aiseé mateso anayopitiaa na maumivu yake c poa ...