Unawajibika kwa kila kinachokutokea mkuu. Kwanini hutumii kinga kwa mtu mpya ambaye humjui atokako? Mi naona ni sawa tu maana akikwambia utamkataa na yeye tayari anakupenda