UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,314
Wanasiasa wetu na wananchi wetu!
Marekani wamejenga wenyewe wamarekani. Kuanzia Washington DC hadi kote huko New York. Miji yote mizuri ni wao.
Hivyo hivyo kwa Uingereza, Japan, Ujerumani, Urusi, na kadhalika.
Kwa kifupi hao mijamaa ilivuja jasho kweli kweli. Sasa hv tunatamani kuwa huko na sisi maana ni pazuri sana. Wengine wanaita USA baby! damn! maana ni kuzuri. Nani hapendi vitu vizuri buana. Hakuna.
Sasa swali. Hao mijamaa walifanyaje wao kujenga. Jibu jepesi walitumia pesa. Walijibidiisha kupata pesa then zikatumika kujenga nchi yao. Walipataje pesa? Inaeleweka hata vita wanayopigana lazima kula maslahi yao. TISS ya huko hahahah mfano CIA/FBI/KGB/MOSSAD wao pasi shaka wapo kwa maslahi ya kiuchumi, kiusalama na kiteknolojia ya nchi zao. Hapa kwetu tz TISS sijui maana kuna mjadala wa moto sana.
Sasa, hv inaingiaje kwenyw ubongo uliotimamu kuwa ajira kwa nchi changa kama hii tz haipo. Hii nchi itajengwa saa ngapi? Hii nchi itajengwa na nani? Maana nguvu kazi zinapotea kijiweni na siku hizi imechagizwa na ku bet.
Au ndo ile kila mradi wetu mkubwa raia wa nchi nyingine wanagombania, sisi uwezo wetu ni ku fix AC, Kazi za Plumbing, huku Main Contractor ya ghorofa 20 akiwa ni mchina hususan Group Six International hahahahaha. Wakipata pesa wanaenda kuwekeza na kujenga kwao. Tunawatajirisha huku watz wenzetu tukiwa fukara hohehahe.
Angalia kwa mfano hoja ya Makonda ya dawa za kulevya. Ukiitazama vizuri utagundua kuwa watumiaji wa dawa za kulevya wamechochewa zaidi na hali duni ya maisha. Wapi wapiga debe stendi za daladala, nk.
Sasa, badala ya Makonda kutazama jambo hili kwa angle sahihi kwa maana ya ku combat tatizo la ajira/ukosefu wa kipato yeye ka compat kwa ku dili na wauzaji. Enewei ni mawazo yake.
Kwa stadi zilizowekwa mitandaoni hv majuzi zinaonyesha kuwa watz hawana furaha. Kisa nini? Am sure ni uchumi. I guarantee.
Sasa kama hivi. Tuwaze openly hv hii nchi inayozidi kutelekeza nguvu zake kijiweni, kwenye ku bet inategemea miujiza gani katika ujenzi wake? Au inadhani wamarekani ama warusi watakuja kujenga dsm na kuwa kama New York?
Huu muujiza haupo. Serikali ikishirikiana na wananchi wake wafanye juu chini watu wajenge taifa lao kwa dhati na sio kwa maneno ya kisiasa.
Nawasilisha.