Ndio maana waisraeli wana msimamo kuwa 1. muwahi adui yako kabla hajakuumiza (hata kwenye sheria zetu ipo kwa maana ya defence), 2. adui akimuumiza mwisraeli mwenzio, basi huna budi kumshughulikia adui huyo kwa kiasi kile kile alichomtendea ndugu yako.