Mkuu unatakiwa ujibu hoja ya mleta madaHusikii wapinzani wanasema Serikali imefirisika?
Tembelea pia kwenye hii thread utapata maelezo zaidi;
LINK List of Shame yaondolewa kwenye tovuti ya CHADEMA
HahahahaWalimlisha matango pori sasa wanajipanga tena watoke vipi
Kwahiyo mkuu hayo madai ya mwanzisha mada unafikiri yanastahili mjadala? Kwanini tujadili ujinga ujinga kama huu? Si bora tu utuambie ile list muhimu "list of shame" kwanini mmeinyofoa kwenye tovuti yenu ili tujue kama ile gia ya angani kama ilihamia hadi akilini?Mkuu unatakiwa ujibu hoja ya mleta mada
Mleta mada anasema, ile kauli ya 'serikali tajiri' imeishia wapi? Ni kweli serikali ni tajiri?
Mbona kauli hiyo haisikiki tena? Anauliza mleta hoja
Hilo ndilo lililopo mezani na la kujadiliwa.
Pili kama wapinzani wanasema, je, hiyo ni kweli imefisilika?
Mkuu hoja hapa 'key words' ni kauli ya utajiri, na imeishia wapi. No more no less
Hapana, nadhani kama kuna hayo ya list of shame na ni muhimu kuyajadili uzi unaweza kuwekwa watakaoweza watachangia. Hakuna tatizo na hilo kabisaKwahiyo mkuu hayo madai ya mwanzisha mada unafikiri yanastahili mjadala? Kwanini tujadili ujinga ujinga kama huu? Si bora tu utuambie ile list muhimu "list of shame" kwanini mmeinyofoa kwenye tovuti yenu ili tujue kama ile gia ya angani kama ilihamia hadi akilini?
Kwahiyo mkuu hayo madai ya mwanzisha mada unafikiri yanastahili mjadala? Kwanini tujadiliujinga ujinga kama huu?Si bora tu utuambie ile list muhimu "list of shame" kwanini mmeinyofoa kwenye tovuti yenu ili tujue kama ile gia ya angani kama ilihamia hadi akilini?
Shida sio ccm shida ni watanzania tusiojua haki zetuHapana, nadhani kama kuna hayo ya list of shame na ni muhimu kuyajadili uzi unaweza kuwekwa watakaoweza watachangia. Hakuna tatizo na hilo kabisa
Tatizo ni mtindo wa kubadili mijadala na si kujibu hoja. Endapo hoja ya mleta mada ni ya kipuuzi kuna nafasi ya kuipuuza na kuiacha ilivyo.
Kama ina mantiki basi ijibiwe kama ilivyo
Hoja zinazogusa maeneo watu wasiyotaka yajadiliwe huwa zinatengenezewa mazingira ya kubadilishwa. Mfano, hoja ya viwanda utashangaa anaongelewa Lowassa
Ikiletwa hoja ya meli utasikia CUF
Hoja ya nyumba za serikali utasikia Dr Slaa
Tunataka mijadala inayoendana na mada, na kama hakuna cha kujadili mtu ana uhuru wa kuacha na kuendelea na mengine
Mleta mada kauliza, tuliambiwa serikali ni tajiri. Nadhani anashangaa mbona omba omba kila subuhi?
Tuliambiwa hatutaki misaada inadhalilisha, mbona kila siku wana saini misaada?
Ndipo mleta mada akataka kujua, kauli ile imeishia wapi? Ilikuwa ni kweli?
Ilibeba uzito stahili? Na kwanini imepotea? Anataka kujua, kauliza, wala hajatoa hoja.
Shida sio ccm shida ni watanzania tusiojua haki zetu wanatufanya mazezetaHapana, nadhani kama kuna hayo ya list of shame na ni muhimu kuyajadili uzi unaweza kuwekwa watakaoweza watachangia. Hakuna tatizo na hilo kabisa
Tatizo ni mtindo wa kubadili mijadala na si kujibu hoja. Endapo hoja ya mleta mada ni ya kipuuzi kuna nafasi ya kuipuuza na kuiacha ilivyo.
Kama ina mantiki basi ijibiwe kama ilivyo
Hoja zinazogusa maeneo watu wasiyotaka yajadiliwe huwa zinatengenezewa mazingira ya kubadilishwa. Mfano, hoja ya viwanda utashangaa anaongelewa Lowassa
Ikiletwa hoja ya meli utasikia CUF
Hoja ya nyumba za serikali utasikia Dr Slaa
Tunataka mijadala inayoendana na mada, na kama hakuna cha kujadili mtu ana uhuru wa kuacha na kuendelea na mengine
Mleta mada kauliza, tuliambiwa serikali ni tajiri. Nadhani anashangaa mbona omba omba kila subuhi?
Tuliambiwa hatutaki misaada inadhalilisha, mbona kila siku wana saini misaada?
Ndipo mleta mada akataka kujua, kauli ile imeishia wapi? Ilikuwa ni kweli?
Ilibeba uzito stahili? Na kwanini imepotea? Anataka kujua, kauliza, wala hajatoa hoja.
Kwahiyo unataka tujadili kama serikali ni tajiri au kwanini husikii tena hayo maneno? Unataka Rais aimbe hayo maneno kama kasuku? Hivi hata kama mmejaa chuki kwa JPM ...mmekosa angle za kumkosoa? ...Kwanini tunaishi kwa siasa za matukio? Hivi nini mnasimamia sasa hivi? Maana baada ya Mbowe kuitwa na Makonda kila kitu na propaganda zote zimehamia huko ....hivi hatuna ya msingi? ...hivi mnajua bunge la majuzi kuna mambo mengi yamepita? Unajua hata moja zaidi ya porojo za mali anazomiliki Makonda? ...Tutabadilika lini? Maana najua mtasema hata hapa namtetea Makonda!Ianzishie uzi wake Mkuu ,hapa tunajadili ile kauli maarufu ya Mtukufu mwenye enzi jumba jeupe pale.
Mkuu punguza ukali wa maneno ,imanaana aloeitoa hii kauli aliongea 'ujinga' ?.
Kwahiyo wazazi wako walifurahi walipo ambiwa wanapenda katerero na faru john.Kwahiyo mkuu hayo madai ya mwanzisha mada unafikiri yanastahili mjadala? Kwanini tujadili ujinga ujinga kama huu? Si bora tu utuambie ile list muhimu "list of shame" kwanini mmeinyofoa kwenye tovuti yenu ili tujue kama ile gia ya angani kama ilihamia hadi akilini?
Kwahiyo unataka tujadili kama serikali ni tajiri au kwanini husikii tena hayo maneno? Unataka Rais aimbe hayo maneno kama kasuku? Hivi hata kama mmejaa chuki kwa JPM ...mmekosa angle za kumkosoa? ...Kwanini tunaishi kwa siasa za matukio? Hivi nini mnasimamia sasa hivi? Maana baada ya Mbowe kuitwa na Makonda kila kitu na propaganda zote zimehamia huko ....hivi hatuna ya msingi? ...hivi mnajua bunge la majuzi kuna mambo mengi yamepita?Unajua hata moja zaidi ya porojo za mali anazomiliki Makonda? ...Tutabadilika lini? Maana najua mtasema hata hapa namtetea Makonda!
Shida sio ccm shida ni watanzania tusiojua haki zetu wanatufanya mazezeta