heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,019
- 13,266
Nawaza tu kwa sauti
Ofisi za Jf zimevamiwa je lengo lao ni nini? Na je wataishia apo au wataendelea
Mfano ukatokea msako maofisini au kwenye kambi n.k zinakusanywa simu zote gafla bila kutarajia unaambiwa utoe password alafu waangalie Jf id yako utatoboa kweli? Au ndo bora wakuue kuliko kutoa password
Maana najuwa humu tunakutana watu tofauti tofauti wazuri kwa wabaya, ambao wapo sehem za juu na za kati uko gavoo na chamani.
Jf wanajitahid kuwa good sana kwa watu ambao hawana roho ya huruma, Nyuzi zinafutwa baadhi ya maoni yanafutwa ilimradi kujishusha lakini bado juhudi zao hazionekani wanavamiwa