Hivi huyu ndio black mamba?

kakhulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
784
Reaction score
1,075
Habari wana jamvi nimekutana na hii video Instagram ningependa kujua hivi huyu ndie anaesemekana black mamba maana alivyomkimbiza mbwa nimeshangaa.
 
Haahahaha eti black mamba

Huyo nafikiri ni paka na black mamba ni nyoka mkuu na usimtaje taje huwa hana utani huyo
 
Mbwackaona eeh isiwe tabu ngoja nikiamshee maisha matamu hahahhaa
 
Bro huyo ni kenge,anakimbia vizuri sana kama ulikuwa hujui.

Black mamba ni njoka.
 
Sio huyo mkuu ila wana undugu flani,black mamba ana makengeza ukimuangalia vizuri kwa karibu.
 
Habari wana jamvi nimekutana na hii video Instagram ningependa kujua hivi huyu ndie anaesemekana black mamba maana alivyomkimbiza mbwa nimeshangaa.
Black mamba ana miguu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…