Hivi huu ujasiri Wanawake wameutoa wapi? Mkigombana anabeba kila kitu ndani na kusepa

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Tofauti na zamani ukigombana nae au mkiwa mna mgogoro wowote ataondoka kama alivyoo kimya kimya

Ila siku hizi ukigombana na mwanamke tuu hakuachi salama kila kilichopo ndani atabeba na kuondoka navyo imefika hatua wanawake saivi wamekuwa wajasiri kukupiga tukio la kubeba kila kitu ndani hawaoni shida lakini pia hata swala la kupelekana kwenye vyombo vya dola hawaogopi sio polisi sio mahakamani hawagopi yaani tukio anakupiga na popote unapotaka kwenda wewe nenda haogopi
 
Hiyo inatokea tu kama ulimkuta tayari anavyo. Lazim ww ujenge ufalme wako yeye ndio aje akae. Sio uje ukae sehem yake
 
Back
Top Bottom