Mwanaume/Mwanamke kuingiza mchepuko kwenye chumba anachotumia na mume/mke wake inawezekanaje? Mbaya zaidi kwenye kitanda kilekile unachofanyia majambozi na mwenzi wako wa ndoa.
Ni moyo gani mgumu unaoweza kuhimili kuta zikishuhudia mtu wa tatu anaingia kwenye chumba chenye siri ya watu wawili?
huo sio ujasir bali ni kukosa nidham na ufinyu wa akili....... Umefanya kosa la kuchepuka tena unaamua kumdhalilisha mkeo/mmeo kwa kumletea haram kitandan kwake
Hii hali inakuwa kwa kasi sana miaka ya sasa! Binadamu hana utashi tena! kwa sasa binadamu ni zaidi ya mnyama!
Hivi inawezekana kweli? Kama unajua pombe inapunguza utashi wako kwa nini unywe kupita kiasi? Hivi magonjwa yataisha kweli?