Nina furaha na mafanikio Yake She was the best To me katika kila sector , Kila day namwombea afanikiwe, Hakuwahi kunishusha Thamani, Alikuwa akinishauri na katika ushauri wake nimefika nilipo
Ila katika harakati za kukimbizana na ndoto zetu , Aliondoka bila kuniaga kisingizio ningemkataza Nilikuwa nina hasira mwanzo ila sasa zimepoa , Siamini katia mapenzi ya mbali hivo 💔💔💔💔
Nafurahia mafanikio Yake
Akishinda hizo ni zake siyo zangu kuchukia hakunipunguzii chochote wala kuniongezea, Anayechukia Ni wale Wenye roho za kichawi chawi
Alafu chances kama hizo ni 1 in 7 billion 😂😂😂😂