Mimi nadhani Tume ikishamaliza kazi yake ndo adios Sasa hii ikoje ikoje
Nionavyo mimi Mzee Warioba anatumika kutaka kutuvuruga wananchi yeye tayari alishamaliza kazi yake na awaachie wenzie nao wafanye kazi yao. Asitumie ukubwa wake na heshima yake kutuvuruga. Au ndiyo wale waliosema kuwa watahakikisha Serikali ya Kikwete haitawaliki.

Poor minds

Wametoa maoni,uchambuzi na kutoa ufafanuzi juu ya masuala yanayopotoshwa na wanasiasa haswa wa Chama Tawala.