kovidii
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 277
- 264
Kimsingi ukimuuliza raia yeyote anayefuatilia Mambo ktk nchi hii kuhusu umri sahihi wa mtu kustaafu Serikalini, atakwambia;kwa hiari 55yrs kwa mujibu wa sheria 60yrs.sasa Kuna Jambo limenitafakarisha bila kupata clear answer!
Juzi kati tumeambiwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora amestaafu , kiukwel huyu ni mmoja kat ya viongoz waandamiz wa Serikali hii walionivutia ktk utendaj wao.sijakaa vizuri leo nikaskia waziri wa utawala bora mh George Mkuchika kamteua somebody ngoma kuwa DAS Singida.
Sasa nikimuangalia mzee Mkuchika kwa macho ya kawaida tu ni mzee kuliko Mwanri, sasa hapa ndo NNAPOSHINDWA KUSHANGAA.Ni vigezo gani huwastaafisha viongozi wetu? Hebu wajuzi mnijuze hapa.