Hivi hili linawezekana!

Ukiwa tight na kazi huwezi waza chupi kabisa...Mi nimewahi kuwa katika kazi ilio very demanding. Concetration mia kwa mia unatakiwa ufikie target kila siku within 10 hours. Huo uchovu wake ukitoka hapo mwanamke unamtamani saa ngapi? Na nilikuwa Mbeya baridi balaa!!!
 
Sasa kila siku utakuwa unatupia?.hamfanyi kazi mkuu?,mwili nao unatakiwa upunzike..
 
Labda kama ofisi unayofanyia kazi hakuna wanawake vinginevyo hujaelewa uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…