Je kuolewa kwa msahafu maana wengine wanataja mahar sawa na bure tuSiwezi sio wote mito tumeandikiwa kuolewa wengine tumeandikiwa kucheza kwaito za wenzetu
Ndoa ni wito narudia tena ndoa ni wito huwa inakuja automatically tu

Mkuu sina cha kukujibu mm sio muislamuJe kuolewa kwa msahafu maana wengine wanataja mahar sawa na bure tu
Kwa mfano Mimi mke wangu tulimaliza chuo pamoja ila yeye aliwahi kupata kazi mapema Kwa sababu ya connection ya baba yake, mwaka wa kwanza ukaisha Mimi sijapata kazi, mwishoni mwa mwaka wa pili nikapata kibarua cha kufundisha sekondari masomo ya commerce na bookkeeping wakati hapo Nina karibia kumaliza CPA .Mwanamke anakuwa kampenda mwanaume sana.
Mwanaume anakuwa hajampenda bibie kiasi hicho. Mwanamke anafosi ndoa, wakati mwanaume hajawa tayari. Hivyo lazima ajigharamie.
Ila wengine ni mapenzi tuu ..Ila binafsi siwezi Fanya huo upumbavu wa kubishana na Maandiko.
Chukulia una kiserengeti boy chako, halafu hakina uwezo wa kulipa mahari, ukiangalia familia yao nayo ni tia maji tia maji, nawe umeishadoda vya kutosha tu, Je huwezi jigharamia mkae kindoa? teh
Ni kweli kabsa sio kila mwanamke kaandikiwa ndoaSiwezi sio wote mito tumeandikiwa kuolewa wengine tumeandikiwa kucheza kwaito za wenzetu
Ndoa ni wito narudia tena ndoa ni wito huwa inakuja automatically tu
hapo waki gombana utasikia"NDO MAANA NIMEKULIPIA MAHALI"
Ni kweli kabsa sio kila mwanamke kaandikiwa ndoa
Nilishasema kuwa jamani wanawake acheni kujiabisha.Kuna harusi tano ziko kwenye pipeline, zote nahusika kwa namna moja au nyingine, ila nimeshangaa kusikia 3 kati ya hizo, wadada wamejilipia mahari na wanagharamia shughuli nzima ya harusi.
Hivi ni kujioza?!, ni fashion?! ama nini...manake duuh, najaribu kuimagine ndo dada yangu anafanya hivoo, nahisi kama hatapata ushirikiano wangu, au ndo sijui atanificha nisijue?!
Anyway, nawaza waza tu yaan, mapicha si mapicha yaan sielewi
IndiaKuna harusi tano ziko kwenye pipeline, zote nahusika kwa namna moja au nyingine, ila nimeshangaa kusikia 3 kati ya hizo, wadada wamejilipia mahari na wanagharamia shughuli nzima ya harusi.