Hivi hii tabia ya Wanawake kujilipia Mahari na Kugharamia harusi imetoka wapi?

Kuna harusi tano ziko kwenye pipeline, zote nahusika kwa namna moja au nyingine, ila nimeshangaa kusikia 3 kati ya hizo, wadada wamejilipia mahari na wanagharamia shughuli nzima ya harusi.

Hivi ni kujioza?!, ni fashion?! ama nini...manake duuh, najaribu kuimagine ndo dada yangu anafanya hivoo, nahisi kama hatapata ushirikiano wangu, au ndo sijui atanificha nisijue?!

Anyway, nawaza waza tu yaan, mapicha si mapicha yaan sielewi
Imetoka India
 
Kujitolea mahari haina tofauti na kujichua.
Kikombe kipite mbali
 
Kuna harusi tano ziko kwenye pipeline, zote nahusika kwa namna moja au nyingine, ila nimeshangaa kusikia 3 kati ya hizo, wadada wamejilipia mahari na wanagharamia shughuli nzima ya harusi.

Hivi ni kujioza?!, ni fashion?! ama nini...manake duuh, najaribu kuimagine ndo dada yangu anafanya hivoo, nahisi kama hatapata ushirikiano wangu, au ndo sijui atanificha nisijue?!

Anyway, nawaza waza tu yaan, mapicha si mapicha yaan sielewi
Ndoa ngumu usawa huu ni vizuri wajiongeze
 
Sioni ubaya wowote kwani mapenzi ni zaidi ya uwazavyo wewe mito. Ukikua utajuwa tu.
 
Uhaba wa wanaume wenye nia ya kuoa nahisi ndio tatizo. Na hili tatizo litaongezeka zaidi kwa wanaume kukosa shughuli za kuwaingizia kipato.

Isaya 4:1
Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.”
Kasome kuanzia Isaya 3 ili uelewe kwanini na maana ya huu mstari ulioweka hapa
 
ISAYA 4:1

Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.

Tuishi humo kwene maandiko

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Hii kitu inanishangazaga pale mwanamke anapomsaidia mwanaume kulipa mahari wakati mwanaume mwenyewe hana ajira wala biashara na mahari yenyewe unakuta ipo kwenye mamilioni.

Mwanaume usikimbilie ndoa kama kujihudumia wewe mwenyewe tu ni mtihani.
 
Mi nilishashangaa mpaka nimeacha kushangaa
 
Jamani oeni wahindi kwa sababu wanaume wakihindi nilazima walipiwe mahari so itakuwa hujajiabisha ni haki zako za msingi
 
Back
Top Bottom