Haiwezekani; kamwe haitowezekana chini ya jua, hata Magufuli ilikuwa ngumu sana kufanya hivyo, ila alifanya, kinyume na utaratibu WA kawaida.
Kama una access na hiyo simu, Kuna app unaweza kukusaidia, ila lazima uishike angalau kwa dakika 10 na uwe na access nayo ya kuhusu, then inawezekana
Ukweli una tabia ya kusimama peke yake, simamia ukweli, na uwe na huo msimamo, tembea nao, usiyumbe hata bila ushahidi.