BABU KIZEE
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 452
- 72
Habari zenu wote wanajamvi,
Kuna dada mmoja nimeanzanae mahusiano hivi karibuni yapata wiki moja,
Anadai nikajitambulishe kwao hivi wakuu hii imekaaje ukizingatia ni muda mfupi tuliofahamiana? Natanguliza shukurani kwenu naombeni ushauri tafadhali.