nyamva
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 244
- 155
Wasalaaam wanajamvi.
Baada ya salaam nadiklea interest kuwa mi naipenda England. na niseme ukwel pia kuwa sijui kwanini naipenda. Labda ni kwa vile England ya akina seaman ., Beckham ilinikosha.
Sasa hii ni timu au genge la wahuni wamekusanyana wakaamua kupitia na wachezani watatu na kuamua kwenda euro 2016?
Jana ilikuwa kituko, mpira wa ovyo, wachezaji wa ovyo, mbinu za ovyo, mchezo wa ovyo,
Watu pekee waliojaribu euro hii ni walker, rose na henderson. Waliobaki ndo wahuni waliokusanyana na kibabu kile kipuuuzi, joe hart ndo cjui jana alizivuta zikapitiliza? Anyway tuyaaache hayo .
Suala pekee ninalopenda nisaidiwe na wenye weledi huu wa soka JE NI VIGEZO GANI HUTUMIKA KURANK TIMU ZA TAIFA? Maana England hii tungekuwa tunagombania nayo nafas kwenye 100+.
Nawasilisha nikiwa na hasira!!!