Hivi hawa mifupa mitupu ndio warembo?

Hapo mi hata isue yangu haiwezi kushituka
 
Watamu balaaa hao watoto.....yaani ni flexible sana kunako majambozi.......watamu sana hao siyo ile mitipwatipwa
 
Ni wazuri kwa maonesho ya mavazi. Kwa maonesho ya urembo siyo hiyo size.
 
Hao mifupa mitupu Wana joto tamuuu
 
Wanawavutia Wazungu Tu Wanaume Wa Kiafrika Tunapend Inye..
Kweli kabisa Vegetarian. Hao wadada wanajikondesha ili kukidhi viwango vya wanaume wao kuhusu uzuri/urembo.Wanaume wa kizungu (hasa uingereza na marekani) hawapendi aina yoyote ya unene kwenye mwili wa mwanamke kinyume na sisi waafrika tunavyopenda unene hasa mi-wowowo!Hata gari dogo (a car) likiwa na boot kubwa na pana linanunulika sana afrika hasa nigeria.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo si severe malnutrition!!. Nawashangaa sana dada zetu waojikondesha na kukataa shepu zao za asili eti ili wawe kama hao vimbaombao.
 
mimi napenda zile nyamanyama hapa hata sitaki kusikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…