Kanyafu Nkanwa
JF-Expert Member
- Jul 8, 2010
- 849
- 103
Wanaelewa bana! Kwa nini wasielewe? Wengi wao walau wamemaliza kidato cha IV; watashindwa kuelewa ung'eng'e wa jamaa?
:hippie:Wanaelewa bana lugha ya mpira tofauti na ya class pia wengi wao wanatoka simba na yanga timu zinazofundishwa na makocha kigeni.
wanaelewa ingawa kutakuwa na baadhi ya maneno wakitoka hapo inabidi yatafutiwe Dictionary
kuelewa wanelewa ila kumbuka kuelewa ni tofauti na kutenda ktk boli unaweza kuelewa unachoambiwa ukifika ground ukafanya maambo tofauti hii inatokana na akili yako imekuwa vipi kisokaikiwa wanaelewa kwa kuwa yanga na simba wanafundishwa na makocha wageni, kwenye mashindano nje ya Bongo premier legue wanaperform?
kuelewa wanelewa ila kumbuka kuelewa ni tofauti na kutenda ktk boli unaweza kuelewa unachoambiwa ukifika ground ukafanya maambo tofauti hii inatokana na akili yako imekuwa vipi kisoka
tatizo sio kuelewa bali ni wameelewa kulingana na mwalimu anavyotaka waelewe?