Hivi hatuwezi kuwa na Rais msabato

Hivi hatuwezi kuwa na Rais msabato

Idadi ya wasabato wapo wangapi ? Ili tupige hesabu za probability
 
Hii imekaaje naona wanabadilishana wao kwa wao mwislamu na mkatoliki ni lini msabato au mlokole?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
kwa bahati mbaya hakuna hata mwenye akili mmoja ambaye ubongo wake haukuchukuliwa na Elen White. na ndio maana hawajawahi hata kuwatetea watanzania hata siku moja, wanategemea madhehebu mengine yawatetee.
 
Twende mbele au turudi nyuma,tubaki tu hapahapa
 
Back
Top Bottom