ni kweli wana shida kwenye hiyo huduma ya patasalio hasa ukiwa ulijiunga kwa kureply ile sms yao ya mwanzo utakuwa unapewa mkopo pale tu salio linapoisha hata kama huhitaji. unaweza kujitoa kwa kuandika ONDOA kwenda 14963. au neno OFF kwenda hiyo namba