tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,854
mtanielewa tu, ninaposema ukiwa kiongozi wa ccm sio rahisi kutumbuliwa jipu labda uame chamaWana JF,
Tumeshuhudia watuhumiwa wa Escrow wakikabidhiwa Wizara na Idara Muhimu za Umma na wengine kupitishwa kugombea Ubunge wa kwenye Serikali ya awamu wa Tano kana kwamba hawakufanya Ufisadi wa aina yoyote, kwenye Serikali ya awamu wa nne. Pengine mimi naweza kuwa sina Ufahamu wa kutosha juu ya maana ya neno Ufisadi.
Hebu tujiulize, unawezaje kufumbia macho Ufisadi wa Escrow zaidi ya bilioni 300, na wakati huo huo ukasema unatumbua jipu kwa ufisadi bilioni 59? Namaanisha bilioni 12 za makontena TRA na 47 za makontena bandarini. Na usimpeleke mtu hata mmoja mahakamani, na wakati huo huo ukamkabidhi uongozi, Wizara na Idara muhimu za Umma.
Kwa uelewa wangu hapa kuna double standard na maana halisi ya Kutumbua jipu inageuka kuwa uonevu na kuoneana haya.
Je, ni lini watuhumiwa hawa wa Escrow walifikishwa mahakamani kujibu tuhuma za Ufisadi wa Escrow na Mahakama ikawasafisha, na wakastahili Promotion hii?
Prof. Muhongo - Waziri Nishati na Madini
Maswi - Ag D. Commissioner TRA.
Chenge - Mbunge.
Tibaijuka - Mbunge.
Ngeleja - Mbunge.
Je, Escrow ni Ufisadi au Promotion?
" Injustice anywhere is a threat to justice everywhere" M.L. King Junior.
Ukisema tajiri utakuwa umekosea kwa sababu kwenye ulimwengu wa matajiri hayumo. Japo natambua kuwa watanzania tuna vichwa vizito sana lakini ngoja nijisumbue kukuelezea japo najua hutaelewa. Duniani pote pesa ya mtu binafsi haitapanywi/haichezewi ndiyo maana hata kupata pesa kutoka kwa tajiri kubwa duniani Bil unatakiwa uandike proposal iliyoshiba hata kama unataka kusaidia walemavu, watoto, wajane, waathirika na accountability itafuata baadaye!! Hata kwenye principle za biashara hakuna point ambayo mfanyabiashara ataanza kugawa utajiri wake. Labda tumwite mtakatifu/mwokovu/ Ruge sio tajiri italeta maana.JK alishasema, pesa za ESCROW si za UMMA. Kwa maana Rugemalila aliamua kugawa pesa zake baada ya kuwa na ziada kubwa katika utajiri wake.
Nimeisoma thread yako yote nikawa natafuta sehem waliyoshtakiwa polisi au mahakamani nikitegemea kuona namba ya kesi ya mashtaka yao(RB KWA POLICE CASE AU CRIMINAL CASE NO..KWA MAHAKAMANI)Wana JF,
Tumeshuhudia watuhumiwa wa Escrow wakikabidhiwa Wizara na Idara Muhimu za Umma na wengine kupitishwa kugombea Ubunge wa kwenye Serikali ya awamu wa Tano kana kwamba hawakufanya Ufisadi wa aina yoyote, kwenye Serikali ya awamu wa nne. Pengine mimi naweza kuwa sina Ufahamu wa kutosha juu ya maana ya neno Ufisadi.
Hebu tujiulize, unawezaje kufumbia macho Ufisadi wa Escrow zaidi ya bilioni 300, na wakati huo huo ukasema unatumbua jipu kwa ufisadi bilioni 59? Namaanisha bilioni 12 za makontena TRA na 47 za makontena bandarini. Na usimpeleke mtu hata mmoja mahakamani, na wakati huo huo ukamkabidhi uongozi, Wizara na Idara muhimu za Umma.
Kwa uelewa wangu hapa kuna double standard na maana halisi ya Kutumbua jipu inageuka kuwa uonevu na kuoneana haya.
Je, ni lini watuhumiwa hawa wa Escrow walifikishwa mahakamani kujibu tuhuma za Ufisadi wa Escrow na Mahakama ikawasafisha, na wakastahili Promotion hii?
Prof. Muhongo - Waziri Nishati na Madini
Maswi - Ag D. Commissioner TRA.
Chenge - Mbunge.
Tibaijuka - Mbunge.
Ngeleja - Mbunge.
Je, Escrow ni Ufisadi au Promotion?
" Injustice anywhere is a threat to justice everywhere" M.L. King Junior.
kama anao ufanya JPMIli uishi kwa amani hapa Tanzania,Unafiki kinatakiwa kuwa ndio kipaumbele chako.
Wapi nimetaja mambo ya chama, mbona sindano inakuingia ndani ya mfupa?Nimeisoma thread yako yote nikawa natafuta sehem waliyoshtakiwa polisi au mahakamani nikitegemea kuona namba ya kesi ya mashtaka yao(RB KWA POLICE CASE AU CRIMINAL CASE NO..KWA MAHAKAMANI)
Lkn sikuona hata sehemu moja!!!!
BTW.HIYO POINT NDIYO ILIYOMPA KIFUA MBOWE..TUNDU LISU. ..MNYIKA N.K(UKIWEMMO NA WEWE) KUMCHUKUA LOWASSA WALOMUITA FISADI FOR 8 CLEAR YEARS KUWA HIVYO. ..NA WAKATAKA KUMUWEKA MAGOGONI JAPO MUNGU HAKUPENDA!!!
SO..Brother it's better you shut up your rotten mouth kwa kuwa hizo ni ZILIPENDWA!!!!!
Daah!! SijuiNimeisoma thread yako yote nikawa natafuta sehem waliyoshtakiwa polisi au mahakamani nikitegemea kuona namba ya kesi ya mashtaka yao(RB KWA POLICE CASE AU CRIMINAL CASE NO..KWA MAHAKAMANI)
Lkn sikuona hata sehemu moja!!!!
BTW.HIYO POINT NDIYO ILIYOMPA KIFUA MBOWE..TUNDU LISU. ..MNYIKA N.K(UKIWEMMO NA WEWE) KUMCHUKUA LOWASSA WALOMUITA FISADI FOR 8 CLEAR YEARS KUWA HIVYO. ..NA WAKATAKA KUMUWEKA MAGOGONI JAPO MUNGU HAKUPENDA!!!
SO..Brother it's better you shut up your rotten mouth kwa kuwa hizo ni ZILIPENDWA!!!!!
Serikali ambayo ina ushahidi wa kutosha juu ya Ufisadi kisha ikakaa kimya ni Serikali legelege na dhaifu. Serikali ambayo inapambana na Ufisadi kwa kuangalia sura ya nani ashitakiwe na nani asishtakiwe ni Serikali ya kinafiki na kidananda.Msisahau fisadi wa Richmond alitaka kukabidhiwa nchi.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Ushabiki wa chama na Uzalendo. Kuna tofauti kubwa sana kati ya Utanzania na Uanachama. Jipime uko kundi gani?Daah!! Sijui
watakuelewa?? Ila kwa kuwa wana chuki sidhani kama wataona hayo yote
Mkuu, hivi ni yupi kajificha nyuma ya wavu wa goli kati ya anayehubiri kutumbua majipu halafu akatumbua vipele na kutunza majipu?Huna lolote ndg yngu
UNAFICHA KICHWA KWENYE WAVU WA GOLI HUKU NYUMA YAKO UNAONEKANA..UKO UCHI HUNA JIPYA NA WALA HUNA MAANA. .ww jibu niluchokiandika ni nani aloitakia mabaya nchi hii kama siyo hao ambao umejificha nyuma yao????
Nithibitishie wizi wao otherwise keep tuned to see the new era!!!!!
USIYEMPENDA KAJAKama ni team machache pia funga gidamu ya viatu vyako mpelekee taarifa hizi kuwa WEWE TU UMEPONA KUMPELEKEA HABARI..
kama anao ufanya JPM
Vipaumbele vya CCM vilivyokuwa vinatajwa ni tofauti sana na yale yanayotokea sasahivi maana tunaona 1.Unafiki 2.Unafiki 3.unafiki.....Eti watajenga mahakama ya mafisadi wakati wewe mwenyewe ni fisadi,..kama anao ufanya JPM
Meli chakavu bilioni 8, wakati Meli mpya Bilioni 6. Bilioni 2 ziko wapi?Vipaumbele vya CCM vilivyokuwa vinatajwa ni tofauti sana na yale yanayotokea sasahivi maana tunaona 1.Unafiki 2.Unafiki 3.unafiki.....Eti watajenga mahakama ya mafisadi wakati wewe mwenyewe ni fisadi,..