Mdumangee Member Joined Apr 30, 2013 Posts 13 Reaction score 1 Jan 27, 2015 #1 Wajameni nimevutiwa sana na features za Strong 4922 ila cjapata jua bei ya mpya na original, , Help me jaman ntafute kabla nshahara kwisha
Wajameni nimevutiwa sana na features za Strong 4922 ila cjapata jua bei ya mpya na original, , Help me jaman ntafute kabla nshahara kwisha
Mastamind JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 1,316 Reaction score 840 Jan 28, 2015 #2 Oiii,,, Ndo kusema mmezila au,!??
Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,861 Reaction score 828 Jan 28, 2015 #3 hatujazila mkuu, kwa bongo wanauza hadi 230000 ila uwe makini mno maana mchina amevamia soko na copy za str4922,jamaa yangu last week aliuziwa lakini haipokei software wala haina bisskey application.sasa anaitumia kama mpg4 ya kawaida
hatujazila mkuu, kwa bongo wanauza hadi 230000 ila uwe makini mno maana mchina amevamia soko na copy za str4922,jamaa yangu last week aliuziwa lakini haipokei software wala haina bisskey application.sasa anaitumia kama mpg4 ya kawaida