Kuna hii taarifa ya mwaka ya World Economic Forum inaonesha viashiria muhimu vya uchumi kwa Tanzania. Kwenye vikwazo vikubwa vya kufanya 'business' cha kwanza kabisa 'corruption'. JK na CCM wanasema wanapigana na 'corruption' sasa hii ikoje? (Kupata data presentations, nenda kwenye panel ya kushoto, part 2, gonga drop down menu, halafu chagua Tanzania ujionee mauza uza mwenyewe)