Na CCM itawachia baharini soon. CCM ''inakupenda'' pale unapokuwa na faida kwake tu. Hata kama itawapa ubunge kwa nguvu kama wanavyopanga lakini bado kuna complications nyingi sana. Kwa mfano wabunge wa CCM hawakubali kuachia majimbo kwa ''machawa wapinzani'' kirahisi. Na kuteuliwa kwenye nafasi za serikali nako kuko very limited kwa sababu kuna machawa wa CCM wamekuwa watii kwa muda mrefu hivyo nao wanasubiri mavuno. Ukweli ni kuwa hawa wakionewa huruma, watakaofadika ni wachache mno na wengine wataishia kubangaiza mitaani.