hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,916
Kwa chadema na ukawa na taasisi kubwa ambayo ambayo inafanya kazi vizuri na Kwa shirikiana. Na kupitia hilo imeweza kusababisha kupendwa na watu wengi. ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania.
Lakini vilevile imewatengenezea maadui wakubwa sana hasa ndani ya Tanzania.
Na mara nyingi viongozi wa vyama upinzani au yoyote anaye ipinga serikali wamekuwa wamekuwa wakipatwa na matizo makubwa na wamekuwa wakijiuliza maswali mengi ambayo hayana majibu na mwisho wa siku wameishia kuwalaumu Polisi. Na tunasahau kwamba vitengo ulinzi viko vingi zaidi polisi.
Kwanza kuna usalama wa taifa jeshi nk.
Hili ni kosa kubwa sana Kwa upinzani Kwa kutegemea Polisi watawalidia kama watashindwa kujilinda wenyewe.
Kwa kuwa vyama vya upinzani vimepatwa na matatizo mengi bila msaada wa jeshi la polisi au vitengo vingine Kwa muda mrefu. nilitengemea upinzani itengeneze intelligence yenyewe na yenye nguvu na itakuwa inafanyaka kila sehemu itakuwa inafanyakazi masaa 24.
Na nikiangalia watu ambao huwa wanatekeleza uhalifu dhidi ya upinzani sio kwamba ni watu ambao wanatumia akili nyingi
Wanatumia akili kidogo sana na hii ni kutokana kwamba wamewadharau sana upinzani na wanajua hamna nguvu yoyote ya intelligence na wanajua mwisho wa siku mtaishia kulaumu tu bila kujua chochote.
Kama upinzani ingekuwa na intelligence inayo fanya kazi vizuri na Kwa uhakika wangesipo kuwa wanachezewa michezo ya kitoto namna ile.
Kazi ya intelligence ni kujua tatizo kabla halijatokea au tatizo likitokea ni kujua ni nani aliyesababisha kabla adui hajajua kama ww unajua.
Na tena saizi technology imerashisisha mambo mengi sana Kwa mfano hii inshu ya roma ilitakiwa muwe mmejua muda mrefu sana Kwa sababu toka roma atoweke walikuwa wakipiga simu ya roma ilikuwa inaita.
Na ukipiga hesabu roma ni kama ni mtu wa upinzani kwasababu kuna vitu anawasemea.
Kwenye nyimbo zake.
Lakini ukiachana na hilo Lakini mpaka Leo hatujui Ben sanane yuko wapi kwasababu chadema na ukawa hakuna intelligence.
Na je upinzani utalaumu mpaka lini.
Chadema igeni mfano wa gwajima
Gwajima ukiachana kwamba anaamini mungu ni muweza wa yote Lakini yule mzee anaintellejence kali sana.
Na ndio maana kipindi cha uchaguzi walimtumia kuwakutanisha na lowassa.
Ukiachana na hilo Hili swala la Kwa bashite alikuwa analijua vizuri zaidi kuliko hata bashite mwenyewe. Hii yote ni Kwa sababu intelligence yake inafanya kazi vizuri.