Makusudically
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,203
- 1,235
Kila mara nimekuwa nikifuatilia siasa za upinzani, vyama vingine kidogo vinabadili mikakati yao ya kusaka Ikulu. CHADEMA yenyewe tangu kianzishwe ni kutegemea vituko vifanywe na CCM. Sasa najiuliza kitafika Ikulu kweli?