chadema hainaga wazee na ndio maana hua inamaamuzi ya hovyohovyo,we tizama hata ndani ya chama wengine hua wanawakosea adabu wazee,ni hawa walisema eti Dr kashikwa na mwanamke sio maamuzi yake yale.Ile haikua sawa kwani ukiachilia mbali siasa yule mwanasheria aliyetoa kauli ile ni kama kaitoa kwa mtu mwenye umri wa baba yake nikimaanisha anaweza kumzaa kabisa,na ndio maana hiki chama kimekua kikiyumba kila uchao