fungi06
JF-Expert Member
- Jul 1, 2020
- 633
- 857
Naulizia tu maana pia naona Diamond ni mkali kuliko wiz kid sema lugha ndo msala..
Nauliza maana nimetoka kuangalia apa mwimbo wa bilnas anaimba kigumu ila kapakwa poda vibaya maana adi harufu inapenya kwenye screen ya tv yangu
Je fid ana fill make up kwenye ile sura ya kingosha?