Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,520 Reaction score 6,517 Jul 1, 2017 #1 Naomba nikiri kwamba uchezaji wa kwaito kwangu ni ziro/limenishinda kabisa. Ila cha ajabu si harusi ya kilokole, kiislamu, kiprotestanti au kikatoliki kwaito lazima ratiba yake iwepo. Nauliza hivi bila kwaito sherehe ya harusi inakuwa sio sherehe!!?
Naomba nikiri kwamba uchezaji wa kwaito kwangu ni ziro/limenishinda kabisa. Ila cha ajabu si harusi ya kilokole, kiislamu, kiprotestanti au kikatoliki kwaito lazima ratiba yake iwepo. Nauliza hivi bila kwaito sherehe ya harusi inakuwa sio sherehe!!?
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,777 Reaction score 126,724 Jul 1, 2017 #2 Ebu siku moja wasiiweke kama haitakuwa harusi
P Pricillah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2016 Posts 722 Reaction score 262 Jul 1, 2017 #3 Sasa si aina ya muziki pendwa na rahisi kuchezeka
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 13,120 Reaction score 12,149 Jul 1, 2017 #4 Kwaito ni nini?
Makuku Rey JF-Expert Member Joined Dec 31, 2013 Posts 3,800 Reaction score 4,586 Jul 1, 2017 #5 mi ndo siijuagi kabisa hii kwaito,wakiiweka hiyo mi huwa narud kuketi!