Hivi aliyesoma kwa tabu na mwingine kwa raha,ni yupi awe na uzalendo zaidi

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,001
:lol:viongozi wengi ukipata Historia zao jinsi walivyopata Elimu zao Ukiwemo na Wewe Unayefungua Uzi Huu na Mimi wachache walisoma kwa Msaada wa wazazi wao hasa Elimu za Juu na Wale wale waloisomea Master,Dr.Phd,Astronomy,Philosophy na NYINGINE unazozijua.Na hao Waloopo madarakani wlisoma Bure Elimu ya juu japo ilikua ya wachache.Sasa ni kwa nini Waliopata hio Elimu hawasaidii wengine walionasifa wakapata Elimu Ya Juu,Na hata Ukipata Huo Mkopo hadi Maandamano na kufukuzana ndo mnapata haki japo no Mkopo sio Bure,Je unadhani Utata ukwapi Mwana Jf.Sikuu Njema Nawapenda wote:A S 465:
 
Haujaoanisha vyema kichwa cha habari na habari yenyewe inaonekana kama ni habari mbili tofauti, kuongea barazani kunataka utulivu wa mawazo ni maoni tu.
 
"Sasa ni kwa nini Waliopata hio Elimu hawasaidii wengine walionasifa wakapata Elimu Ya Juu"

wewe umesaidia wangapi?
 
Back
Top Bottom